Нажмите эту кнопку для поиска видео →

Global TV Online

HD
6:40
автор  дата 15.01.2019
 • 4701
 • 20
 • 3
 Проголосовало пользователей: 23
"TUNAWEZA Bila Makambo, Fei Toto Anashuka na Kupanda" - ZAHERA NAHODHA wa timu ya Yanga, Ibrahim Ajibu anaanza na rekodi yake leo katika mchezo wake wa kwanza akiwa amevaa kitambaa cha unahodha baada ya kufunga bao la kwanza katika mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui Uwanja wa Taifa. Ajibu amefanikiwa kuandika bao hilo baada ya kupiga faulo akiwa nje ya 18 dakika ya 12 ikamshinda mlinda mlango na kuzama moja kwa moja langoni. Dakika ya 18 Yanga walipata penati baada ya Tambwe kuchezewa rafu eneo la hatari ila Penalti hiyo ilipigwa na Ajibu iliokolewa na mlinda mlango wa Mwadui Anold Masawe. Dakika 39 Ajibu alimpa pasi ya bao Amiss Tambwe akamalizia kwa kichwa na kipindi cha pili dakika ya 57 Fei Toto anafunga bao la tatu akimalizia pasi ya Ajibu. Dakika ya 82 Mwadu wanapata bao la kufutia machozi kupitia kwa Salum Aiyee akimalizia pasi ya Ditram Nchimbi. #YANGAVSMWADUI #ZAHERA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club
ЕЩЁ
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 03.01.2019
MAJONZI: Mazishi ya Aliyekufa siku ya Ndoa, Yatikisa Moshi! ARUSHA! Inasikitisha sana! Mazishi ya bwana harusi, Heaven Makupa (47) aliyefariki dunia katika ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 11.01.2019
LIVE AIRPORT: MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA AIRBUS A220-300 Ndege nyingine mpya ya Serikali aina ya Airbus A220-300 iliyopewa jina la Ngorongoro ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 15.09.2018
MAMAMZAZIWAMUNA #MUNALOVE EXCLUSIVE: Mama Mzazi wa MUNA Azungumza Yote Kuhusu MUNA! GLOBAL TV ONLINE imefanya mahojiano ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 16.01.2019
Kambi Rasmi Upinzani Bungeni Wamvaa Spika Ndugai Mzima Mzima KAMBI rasmi ya Upinzani Bungeni imemtaka Spika wa Bunge Job Ndugai kutengua ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 19.01.2019
GLOBAL HABARI JAN 19: Waziri Mkuu Akagua Eneo la Ujenzi Hospitali Ya Uhuru WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua eneo la ujenzi wa hospitali ya ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 15.01.2019
RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna" MKUU wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, amefanya mkutano na wananchi wa kata ya ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 19.01.2019
MAGAZETI JAN 20: Amka na Global TV Kila Siku Alfajiri Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 03.01.2019
ITAKULIZA: Wasifu wa Aliyekufa Akifunga Ndoa, Elimu, mke, watoto! ARUSHA! Inasikitisha sana! Mazishi ya bwana harusi, Heaven Makupa (47) aliyefariki ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 10.01.2019
EXCLUSIVE: Mke wa MZEE YUSUPH Aeleza Walivyovamiwa na Majambazi 7 Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 13.09.2018
EXCLUSIVE: MUNA Ametelekeza Mtoto Kijijini Moshi! MADAI MAZITO! Muigizaji maarufu Bongo ambaye kwa sasa ameokoka, Muna Love anadaiwa ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 04.12.2018
AIBU YA MWAKA! Mchungaji Afumaniwa Akioa Mke Mwingine! MCHUNGAJI wa kanisa la Gospel Revival Assembles of God lililopo Mlandizi, Julius Andrew, ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 03.01.2019
Best Man Asimulia Bwana Harusi Alivyokufa siku ya Ndoa! Best Man wa Bwana Harusi, Heaven Makupa, aliyefariki masaa machache kabla ya ndoa ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 10.01.2019
THOMAS ULIMWENGU - "Hatuwaogopi Simba Wanasema Wamejiandaa Waje" MCHEZAJI Anayekipiga katika klabu ya JS Saoura ya nchini Algeria Thomas ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 22.09.2018
MOBETO #JOKATE EXCLUSIVE: MOBETO Afunguka Kumroga DIAMOND "Niko Huru Sasa" Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa amejitumbukiza ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 09.01.2019
HOTUBA YA JPM - "IGP Ningekufukuza / Mawaziri Wamelala Tu" Rais Dkt John Magufuli, leo Januari 09, 2018 anawaapisha viongozi wapya aliowateua, ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 15.09.2018
Duh! Hawa Jamaa Hawana Mpinzani Tanzania, Click Link ujionee! https://www.youtube.com/watch?v=znScSu0IOKM #MUNALOVE #DADAWAMUNA ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 09.11.2018
BABA AMBER RUTTY Afunguka MAZITO Akizungumza na gazeti la amani baba mzazi wa Amber rutty ameweka wazi namna video chafu za mtoto wake zilivyo ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 14.09.2018
Duh! Hawa Jamaa Hawana Mpinzani Tanzania, Click Link ujionee! https://www.youtube.com/watch?v=znScSu0IOKM EXCLUSIVE: Mama MUNA Amwaga ...
 • СКАЧАТЬ
автор  дата 15.01.2019
GOLI LA FEITOTO HATARII NAHODHA wa timu ya Yanga, Ibrahim Ajibu anaanza na rekodi yake leo katika mchezo wake wa kwanza akiwa amevaa kitambaa ...
 • СКАЧАТЬ

Поделиться:

  Популярные тэги
  Загрузка...
    Сейчас смотрят